Mwezi wa Biblia Ulimwenguni
Kiswahili
Dunia wakati wa usiku, ikionekana kutoka angani, huku taa za miji zikichora ukanda wa pwani wa Amerika.

Neno Moja
kwa Ulimwengu

Siku 30. Neno la mungu. Uko tayari?

Novemba ni Mwezi wa Biblia Duniani

Neno la Mungu lilibadilisha historia. Liruhusu likubadilishe wewe pia

Neno la Mungu linapogusa maisha ya watu, huwabadilisha. Na watu waliobadilishwa na Neno hubadilisha ulimwengu

Novemba hii, Tumia muda zaidi kusoma Neno la Mungu na uone kitakachotokea. Tafiti zinaonyesha kwamba kuwa na desturi ya kusoma Biblia mara kwa mara kunaweza kubadilisha kila kitu. Jiunge na watu kutoka kote duniani—watu binafsi, huduma mbali mbali, kampuni tofauti za kimataifa na programu za Biblia, yaani Bible apps —tunapoungana kutumia siku 30 mfululizo katika Neno la Mungu kupitia Mpango wa Siku 30 wa Kusoma Biblia.

Watu kote duniani wanachukua Changamoto ya Siku 30

Je, uko tayari?

Tenga muda wa kusoma na kutafakari Neno la Mungu kwa siku 30 mfululizo kupitia Mpango wa Siku 30 wa Kusoma Biblia.

Jiunge Nasi
  • Sherehekea Biblia
  • Tumia siku 30 katika Neno la Mungu
  • Jiunge na harakati ya kimataifa ya Biblia
  • Pokea barua pepe za kutia moyo

Je, wewe ni kanisa?

Toa ujumbe au mfululizo wa ujumbe kuhusu jinsi Neno la Mungu linavyobadilisha maisha wakati wa Novemba, na uhimize kanisa lako kufungua Neno la Mungu kwa siku 30 mfululizo kupitia Mpango wa Siku 30 wa Kusoma Biblia.

Sajili Kanisa Langu

Je, wewe ni huduma ya kikristo?

Himiza watu unaowafikia ama jamii yako kusoma Neno la Mungu kwa siku 30 mfululizo kupitia Mpango wa Siku 30 wa Kusoma Biblia.

Sajili Huduma Yangu ya Kanisa
Watu wawili wakisoma Biblia zilizo wazi kwenye meza ya mbao; mmoja akifuatilia kwenye simu, huku kahawa ikiwa kando yao.

Pamoja, tusherehekee Kitabu Kikuu kuliko vyote, cha nyakati zote - Biblia

Sera ya Faragha/Kulinda Taarifa Zako